Mwanadada Kelly Rowland ambae ni star wa kundi la Destiny's child amenusurika baada ya boti aliyokuwa anasafirinayo kupotea baharini siku ya Ijumaa.
Rowland na wengine walikuwa kwenye chombo cha baharini kwaajili ya kwenda kujionea nyangumi (Ijumaa asubuhi) wakiangalia kujiingiza katika nyangumi, lakini ghafla walikutana na wimbi lenye urefu wa futi 5 na kusababisha ukungu, Captain wa boti hiyo alipoteza mwelekeo. Taarifa zinasema kwamba boti hyo ilikuwa km 53 toka kaskazini mwa mji wa Province.
Taarifa ilimfikia Master wa bandari alifanikiwa kupiga mahesabu yake na kufanikiwa kurudisha meli hiyo .
Nahodha Nuhu Santos alifawaokoa kila mmoja na kuwarudisha mida ya saa 5 ya Ijumaa usiku huku kila mmoja akiwa anatetemeka kivyaake.
Santos anasema siku ya pili yake, alipokea shukran binafsi kutoka kwa Rowland mwenyewe alipokutana nae akiwa na mkewe out kwa ajili ya dinner, na Kelly aliwalipia chakula walichokula. Mpaka dakika hii Kelly hajaongea lolote juu ya hilo.
0 comments:
Post a Comment