About me

Mathew Michael Lives in Dar es salaam,Tanzania, Student at Institute of Management and Information Technology



My nick- name is Thayo. I live in Dar es salaam,Tanzania with my big, crazy, loving family. I’m 20  and I spend way too much time online, at home and college.

I’m friendly, I talk a lot and I’m generally a very happy person.

You’ll get to know me better if you keep reading my blog.





Historia yangu.

 

Nilizaliwa mnamo mwaka 1992 mkoa waTanga,Tanzania

Nilisoma elimu ya chekechea shule ya awali tanga nusery school na kujiunga na elimu ya msingi shule ya msingi Sahare ilyopo mkoa wilaya ya Tanga.

Nilianza elimu ya sekondary katika shule ya sekondary Usagara na nilihitimu mnamo mwaka 2009. Nilifanikiwa na kujiunga na elimu ya kidato cha tano katika shule ya ufundi tanga na kuhitimu mnamo mwaka 2012.

Kwa sasa naendelea na elimu ya juu nikichukua Information Technology. Ndoto yangu ni kuwa programmer bora katika uwanja huu mpana wa teknolojia.

0 comments:

Post a Comment