Mzee Mandela atimiza miaka 95 ya kuzaliwa akiwa hospital mjini Pretoria,South Africa,Leo Africa na dunia nzima tuna mtakia siku njema ya kuzaliwa shujaa huyu.
| Watoto wa shule wakkimtakia Mandela happy birthday. |
| Mishuma ikiwa imewashwa katika kanisa la St. George Cape Town kwa ajili ya Mandela |
| Wanafunzi wa Johannesburg wakimuombea afya njema Mzee Madiba. |
| Mchuuzi wa magazeti wa mji wa Soweto ambapo alikuwa akiishi Mandela, akiwa ameshikilia gazeti lenye ujumbe wa kumtakia birthday njema. |
| Picha ya Mandela ikiwa imebandikwa kwenye billbord ya New York Times yenye ujumbe wa kumtakia birthday njema. |










0 comments:
Post a Comment