Monday, 22 July 2013

NEWS: SINTA AJIBU MAPPIGO KWA SHILOLE ANASEMA ANASUBIRI HICHO KIPIGO TOKA KWA SHILOLE.


Sinta
 Msanii mkongwe kwenye Tasnia ya maigizo Africa Sinta amefunguka kuhusu vitisho anavyopewa na msanii mwenzake wa muziki na maigizo Shilole kuwa ajiandae kuchezea kipondo cha mbwa mwizi popote atakapomuona baada ya Shilole kutangaza vita na mwanadada huyo.


Shilole


0 comments:

Post a Comment