Tuesday 8 July 2014

Music: Jaykah_ mtengwa_hip hop ujamaa| Swaggz255


Majina kamili ni Javis Karani Mwangu, umri wa 20yrs, jina la usanii ni Jaykah Mtengwa. Ngoma inaitwa Hiphop Ujamaa' Imefanywa chini ya studioza Ricky Recordz, Producer akiwa ni Ricky.

Download hapa


0 comments:

Post a Comment