Tuesday, 13 May 2014

Picha: Diamond akiwa na Dimpoz, Amsterdam airpot


Msanii wa  bongoflava Diamond Platnumz pembeni akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa Amsterdam airport njiani kueleke England.
Diamond anatarajia kufanya video ya wimbo wake mpya ambayo itafanywa na director ambaye ameshafanya video na wasanii kama Davido, Wizkid na Fuse.

0 comments:

Post a Comment