Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Raisi Kikwete.
Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Raisi ambapo mbali na mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa nipamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET hapa nchini Marekani.Raisi hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza kijana huyo kwani wakatimatangazo yalipotoka Diamond alikuwa nje ya nchi.Mheshimiwa pia alimkutanisha Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam Record/Warner Bros Music group Mr Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo makubwa na Diamond.
0 comments:
Post a Comment