Sunday, 18 August 2013

HEBU CHEKI KILIMANJARO MUSIC TOUR 2013 ILIVYOBAMBA MWANZA

Kundi la reggae bora mwaka 2013 warriors

Joh Makini akiwa kwa stage.


 Maelfu ya mashabiki wa jiji la Mwanza waliojitokeza uwanja wa CCM Kirumba kuwashuhudia wakali wa Muziki katika Kilimanjaro Music Tour

Msanii wa Ragga Dabo on the stage ndiye aliefungua rasmi show ya Kili Music Tour 2013.

 Rais wa masharobaro Bob Junior akifanya yake pamoja na madansa wake

Snura mamaa majanga nae akiwa kwa stage.

AT akiwaduarisha wakazi wa Mwanza katika jukwaa la Kikwetu kwetu



Mkali wa R&B Ben Pol akiwaimbisha mashabiki wake

Roma Mkatoliki alikuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani.

Lady Jaydee akiwasha moto katika jukwaa la Kili Music Tour huku akipewa kampani na Profesa Jay katika wimbo wa Joto Hasira



 Mshindi wa tuzo 3 katika Kili Music Awards 2013 Kala Jemremiah akithibitisha ubora wake jukwaani.


Diamond Platnumz akifanya yake kwa jukwaa.


Fid Q akiwa juu ya stage home sweet home.



Back stage.


Diamond

#Team anaconda

Ben Paul & Kala Jeremia.

0 comments:

Post a Comment