Jana tarehe 27/09/2013 mtu mzima Dwayne Michael Carter Jr. a.k.a Lil wayne alisheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 31.
Mtu mzima Weezy F Baby alizaliwa Tarehe 27 ya mwezi wa 9 mnamo mwaka 1982 katika mji wa New Orleans, Louisiana.
Hii ilikuwa ni post ya YCMB katka Facebook....
0 comments:
Post a Comment