Mkali wa Hip Hop Kanye West na mchumba wake Kim Kardashian wameng’ara kwenye jarida la Vogue kwenye kipengele cha Wapenzi Waliozungumziwa Zaidi Duniani yani #WorldsMostTalkedAboutCouple.
Kanye West Na Kim wameonekana wenye cover la jarida la Vogue toleo la mwenzi wa Nne 2014. Stars hawa wametokea kwenye jarida hili na kicha cha habari kisemacho “Kim & Kanye – Their Fashionable Life & Surreal Times – #WorldsMostTalkedAboutCouple.”
0 comments:
Post a Comment