Kumekuwa na gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuzaga kwa picha ya Msanii wa bongo flava anaetikisa Africa akiwa na pamoja na mwanadada mrembo ambae pia ni msanii wa bongo movie wakiwa kwenye pozi hilo hapo juu kwenye picha. Wengi wame disi mpaka wengine kutoa matusi yanayo muhusisha Diamond, Wema pamoja na kipenzi wa sasa wa diamond (Penny).
Ila ukweli ni kwamba wawili hawa hawajarudiana bali ni mishe za kikazi ndo zinawafanya wapo pamoja ambapo wapo kwenye maandalizi ya Movie kali inayotambulika kwa jina la TEMPTATIONS.
Hii ni post ya Diamond alioidondosha kwenye Instagram...
0 comments:
Post a Comment