Monday, 12 August 2013

listi kamili ya wasanii watakaopanda kwenye jukwaa la Fiesta 2013 ndani ya Kigoma



















Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. List inaenda kama

  1. A.Y
  2. T.I.D
  3. Cassim Mganga
  4. Barnaba na Amini
  5. Mwana F.A
  6. Godzilla
  7. Young Killa
  8. Ney Lee
  9. Stamina
  10. Shet a
  11. Shilole
  12. Weusi (Joh,Niki wa Pili, G nako)
  13. Makomando
  14. Chege
  15. TembaLevo
  16. Madee
  17. Recho
  18. Linex
  19. Peter Msechu
  20. Baba Levo

0 comments:

Post a Comment