Friday, 16 August 2013

HAPPY BIRTHDAY MATHEW MICHAEL A.K.A THAYO TUNECHSWAGG!


Leo ni siku muhimu sana kwangu! Nawashukuru wale wote walio show support yao ya nguvu kuifanya siku ya leo iwesawa kwa upande wangu, nawashukuru pia walio niwish Birthday njema nafurahi sana kuona mmeshow love ya kutosha kwangu.

Kikubwa zaidi ni kwamba Google hawakuwa nyuma,nao wameshow the Big respect, wametupia photo kwenye search engine yao ambayo ina text ilyo andikwa "Happy birthday Mathew" ukipoint juu yake as shown below:


Mathew Michael a.k.a Thayo

0 comments:

Post a Comment