Thursday, 25 July 2013

WEMA ASHOW LOVE KWA RAY C KWA KUMUOMBEA.

Beautiful Onyinye Wema Sepetu ameonyesha kwa mara nyingine tena roho yake ya upendo na safari hii ni kwa superstar Ray C baada ya kuweka picha  yake katika account yake ya instagram.

Hiki ndicho alichopost Wema kwenye account yake ya instagram:

0 comments:

Post a Comment