Ni Jumapili July 7 2013 ambapo
Tamasha la Matumaini linaendelea kwenye Uwanja wa taifa ambapo Rais
Jakaya Kikwete alikua mgeni rasmi, ilitangazwa kwamba President angekua
refa kwa muda mfupi kwenye mechi ya Wabunge wa Yanga vs wa Simba.
Sunday, 7 July 2013
Picha: Rais Jakaya Kikwete alikua mgeni rasmi kwenye tamasha la matumaini!
12:27
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwenye mbshe hzo, raic we2 huwa anapenda sana.
ReplyDelete