Thursday, 18 July 2013

News:Hatimae Baby Madaha aomba pambano na Jackline Wolper

Wolper


  Star wa muziki na bongo movie, Baby Madaha ameomba mpambano wa ndondi dhidi ya msani wa bongo movie Jack Wolper ili wamalize bifu lao. Baby Madaha alisema amechoshwa kusikia majigambo ya mpinzani wake sasa kama kweli ye ni mwanamke wakutane ulingoni amuonyeshe cha mtema kuni.

0 comments:

Post a Comment