Mfanyabiashara maarufu jijini Dar amwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2 usiku.
Mthumiwa
aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati
mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo
la tukio.
Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masaki.
Hili ndio eneo la tukio ambapo Mfanyabiashara huyo alimwagiwa tindikali. |
Source: Jamii Forum
0 comments:
Post a Comment