Friday, 19 July 2013

NEWS: JUSTIN BIEBER MBIONI KUDONDOSHA NGOMA MPYA IJULIKANAYO KAMA "HEARTBREAKER"

Superstar huyo mwenye umri wa miaka 19 amewaacha fans wake wakiwa na hamu kubwa ya kutaka kuiskia ngoma hiyo baada ya kudondosha mistari kadhaa kwenye page yake ya Instagram.

0 comments:

Post a Comment