Jinsi ya kuchat au kuupdate status ama comment zikiwa upside down kwenye FACEBOOK.
Hii ni application nyingene yenye kufurahisha ambayo itakufanya ufurahie mda wako wa kuwa fb, kwa kutumia link hii hapa chini unaweza kutengeneza post zilizo upside down.
Go to UPSIDEDOWNTEXT na ingiza maneno unayotaka kupost hapa the utacopy na kupaste kwenye fb chat ama status yako. Enjoy!
Mfano: Thayo tunechswagg
inakua: ƃƃɐʍsɥɔǝun┴ oʎɐɥ┴
0 comments:
Post a Comment