Tuesday, 30 July 2013

NEW AUDIO:kocha wa Makipa kwenye timu ya Taifa ( Taifa Stars ) Juma Pondamali- Pesa


Sikiliza ngoma toka kwa kocha wa Makipa kwenye timu ya Taifa ( Taifa Stars ) Juma Pondamali(49) ambae alikuepo kama kipa kwenye kikosi pekee cha Stars ambacho mwaka 1980 ndio kilivunja rekodi ya kuingia kwenye Africa Cup of Nations Lagos, Nigeria ambapo mpaka leo Stars haijawahi kupata nafasi kama hiyo.



0 comments:

Post a Comment