Wednesday, 31 July 2013

KISA KILICHOMKUTA MADEE ALIPOWASILI SOUTH AFRICA


Msanii Madee kutoka Tip Top connection jana aliwasili nchi Afrika ya kusinini. Pale Airport alivyowasili anasema alivyojulikana anatoka Tanzania aliwekwa pembeni kwa takribani zaidi ya saa 1 na kusachiwa na kuojiwa  kwa sana na kuruhusiwa kuondoka uwanjani hapo...Anasema baaada ya kutaja anatokea Tanzania walikuwepo askari waliovalia sare walimuamuru kuvua tshirt na kubakia na nguo nyepesi ya ndani hadi kumkagua mabegi yake huku abiria aliokuwa amesafiri nao ndege moja walipitabila matatizo yoyote...Sehemu yenyewe ambayo alivuliwa nguo sio kwenye chumba maalumu ilikuwa pale pale  kwenye mstari,lakini baada ya ukaguzi walimomba msamaha na kumruhusu kuendelea na safari yake....!!

0 comments:

Post a Comment