Wednesday, 10 July 2013

Breaking news! Mama mzazi wa Prof. J afariki dunia.


Ni majira ya saa 1 usiku maeneo ya mbezi mwisho ambapo mama mzazi wa Prof. J alipata ajali ya kugongwa na gari alipokuwa akivuka barabara akiwa akitoka dukani, aliwahishwa hospital hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha hadi mauti kumkuta. Mungu ailaza roho ya marehemu mahala pema Peponi...Amen.

0 comments:

Post a Comment