Friday, 19 July 2013

Breaking news: AJALI YA BASI YAUA WANNE DODOMA.


Basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Mwanza limepata ajali maeneo ya Mbande mkoani Dodoma na kuua wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo lilokuwa likielekea Mwanza lilipata ajali hiyo kwea kupasuka tairi ya mbele.

0 comments:

Post a Comment