Fezza kessy & Oneal siku ya jana walifunga barabara za jijini Gaborone baada alipowasili mwanadada huyo toka Airport na kupokelewa na umati wa watu ili walazimu kutimiza matakwa ya wananchi baada ya kuwasili wazunguke mitaa kadhaa ya jiji ilo ili kuepusha usumbufu wa kuzongwa na watu kutokana na kila mwananchi kuongozana nao wanapoelekea....
![]() |
Feza akiwa na mpenzi wake wakipata chakula. |
![]() |
Umati mkubwa airpot alipowasili mwanadada huyo! |
0 comments:
Post a Comment