Tuesday, 2 July 2013

Picha: Obama v/s Jakaya

mheshimiwa Jakaya akipata gud time na prezidaa Obama mapema hii leo walipokuwa wakichezea mpra kuonyeshana maujanja.

3 comments:

  1. hahaha.. Wanatuzuga tu hawa. Hawana lolote. We umeona wap mpira unachezwa na suti!

    ReplyDelete
  2. dah! Kumbe waheshmiwa nao hawako nyuma.

    ReplyDelete