Wednesday, 24 July 2013

NEWS: Nywele za Beyonce zang'ang'ania kwenye feni katikati ya show (Mrs Carter World Tour)

Star kutoka Hollywood, Beyonce (31), alibaki akiwa amekaa kwenye stage huku akiendelea kuimba licha ya nywele zake kunjiviringisha kwenye feni lililokuwa juu ya stage, alipokuwa aki-perform (Mrs Carter World Tour) juzi (July 22), Montreal, Canada. Janga hilo lilimkuta alipokuwa akiimba wimbo wake "Hello", ndipo wasaidizi wakepamoja na baunsa walisogea kumsaidia ambapo walifanikiwa kumtoa baada ya kuzikata na mkasi. 

Licha ya tukio hilo kumtokea Beyonce aliandika utani juu ya kilichomtokea kupitia mtandao wa Instagram.
"Gravity cant begiiiiiiiin to pull me out of the fan again. I felt my hair was yankiiiiiiiin, From the fan that's always hatiiiiiiiin. Virgin Remy [and] Malaysiiiiiiaaaaaan haaaaaaaaa!! I got snatched "2 snaps." Goodnight all, B," 

Cheki video hii hapa!



0 comments:

Post a Comment