Thursday, 25 July 2013

News: AJALI MBAYA YATOKEA HISPANIA , WATU 77 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 130 WAJERUHUWA.

Ajali mbaya ya trreni yatokea Hispania na watu 77 kupoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa. Treni hiyo iliyokuwa na abiria 247 ilipata ajali imetokea kaskazini magharibi mwa mji Mkoa wa Galicia ikiwa inaelekea mji wa Saintago de Compostela.Inasadikika kuwa chanzo cha ajali ilikuwa ni mwendo kasi wa treni hiyo.



















VIDEO: YALIOJIRI ENEO LA AJALI.

0 comments:

Post a Comment