Tuesday, 16 July 2013

New Joint: JAYKAR AKIWA ft SULTAN WA PWANI-Kisirani

ISKILIZE NGOMA MPYA TOKA KWA MSANII JAYKAR AKIWA NA SULTAN WA PWANI,NGOMA INAITWA KISIRANI. IMEFANYIWA CHINI YA STUDIO ZA THUNDERSOUND PRODUZER AKIWA NI MORBIZ.





Historia fupi ya Jaykar

"Jina kamili ni Javis Karani mwangu, Ila steji nem ni JAYKAR. Ambalo
ni ufupi wa jina langu kamil.
Kwa sasa nipo na ngoma tano pamoja na hiyo ambayo naitambulisha kwenu.
Me ni rapper.
Read more>>>
 Napenda kurap kuhusu mziki unao elimisha jamii yani
jamii inakuwa inapata elimu kupitia mziki wangu.
Kuhusu masomo, Nliweza kumaliza darasa la nane ila sikuweza kuendelea
na masomo sababu ya ukosefu wa elimu. Ila dalili zipo bado sijakata tamaa ipo day natazamia kurudia na studies mambo yakiwa sawa.
 Kwa sasa nipo 19years old. Nilizaliwa mwaka wa 1994 mwezi
wapili tarehe mbili.
Yep ishu na kichupa Napania kufanya soon ya hii ngoma mpya inaitwa
KISIRANI. Niliyompa shavu msanii mwenzangu anajulikana kama SULTAN WA
PWANI.
Kabla sijamaliza kitu ambacho mafans hawakijui toka kwangu ni kuwa mi
ni mtoto wa kipekee yan mi tuu. Wenzangu watano hawapo waliaga dunia.
So wazaz wangu yan nawadhamin sana. Yan respect kwao pia."

0 comments:

Post a Comment