Monday, 22 July 2013

MABESTE APATA MTOTO WA KIUME

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Tanzania Mabeste usiku wa jana alikuwa ni mwenye furaha baada ya mchumba wake wa muda mrefu  Lissa kwa kujifungua mtoto wa kiume aliyepewa jina la Kendrick.

Picha za mtoto huyo hapa chini sambamba na mama mzaazi Lissa wakiwa hospital

Baba na Mama Kendrick







0 comments:

Post a Comment