Thursday, 10 October 2013

NEWS: Penny Akimbizwa Hospital Baada Ya Kuona Picha Za Wema Na Diamond wakifanya yaooo.


Story zilizopo ni juu ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond kuendelea kuwachanganya wasichana wa kibongo … na hii ni mpya kabisa … baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha kwenye mitandao ya kijamii, kuona Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena hapo ndipo ikampelekea DVJ Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa hospitali.




Diamond na Wema wakifanya yao huko china.

0 comments:

Post a Comment