Tuesday, 8 October 2013

Diamond Platnumz amaindi mchongo kwa aliyevujisha ngoma yake mpya!


Msanii mkali wa bongo fleva Diamond Platnums a.k.a raisi wa wasafi anaetamba na staili yake mpya ya ngololo, amedondosha mkwara mzito kwa yule aliye vujisha track yake mpya ijulikanayo kwa jina la nikifa kesho ambayo ameirekodi hivi karibuni.
Hii ndio kauli aliyo itoa msanii huyo baada yakusikia kuwa ngoma yake hiyo ambayo bado ipo kaapuni kuzagaa mitaani " Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine  Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi....ila Kuvujisha Unajisumbua bure! "

0 comments:

Post a Comment