Monday, 22 July 2013

WEMA AJINAJISI MWEZI MTUKUFU

 WAKATI zilipendwa wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifuturisha kila kukicha, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametupiwa madongo mazito akiambiwa amejinajisi Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufuatia picha zake  zisizopendeza kipindi cha mfungo kutumbukizwa mtandaoni.










 Julai 19, mwaka huu (Chungu cha Kumi) picha za Wema ambaye ni staa wa filamu za Bongo na Miss Tanzania mwaka 2006/07 ziliingizwwa mtandaoni akiwa katika mapozi mbalimbali yenye ‘kuuchefua’ mwezi kama mtu atakumbana nazo. Picha moja ilimuonesha mrembo huyo akiwa ‘klozidi’ na meneja wake, Martin Kadinda. Wanaonekana wamekumbatiana.
Picha nyingine inamuonesha Wema akipiga mbizi kwenye swimming pool moja ambayo haikufafanuliwa ni wapi nchini Tanzania.
Mbali na picha hizo mbili, nyingine ilimuonesha mlimbwende huyo akiwa katika gauni jepesi kiasi cha kuweza kuonesha ‘nido’ zake.


0 comments:

Post a Comment