Hapa katikati zilipita stori nyingi kumuhusu Steven, aliongea na millardayo.com na kusema baada ya kuonekana vile Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji alimzawadia pikipiki kutokana na kuona uzalendo wake, alisema pia mpaka April 2013 alikua amepokea zaidi ya milioni 4 za Kitanzania kutoka kwa Watanzania mbalimbali ambao walimuona akilia.
Sasa Steven amemiliki headlines tena kwa kulia muda mfupi tu baada ya kushiriki usahili wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Bongo Star Search July 27 2013 Uwanja wa Taifa Dar es salaam ambako anadai alijibiwa kwamba hana kipaji cha muziki hivyo akaendelee tu kuishangilia Yanga.
Picha: Mchizi akilia baada ya kutoswa na majaji wa Bongo Star Search baada ya kuambiwa kuwa hawezi mziki na bora aendelee kuwa shabiki tu wa Yanga.
Video:Hapa ni kipindi yanga ilipofungwa goli tano.
0 comments:
Post a Comment