Friday, 19 July 2013

Updates : Picha za majeruhi wa ajali ya basi ya kampuni ya Najmunisa.

Ajali ilitoke maeneo ya Mbande mkoani Dodoma na kuua wanne na wengine 10 kujeruhiwa. Basi hilo lilokuwa likitoka Dar kuelekea Mwanza lilipata ajali hiyo kwea kupasuka tairi ya mbele.







0 comments:

Post a Comment