Friday, 5 July 2013

Picha: utengenezaji wa video ya jux- uzuri wako



 Msanii wa muziki Tanzania maarufu kama Jux ambae kwa sasa makazi yake na shughuli zake nyingi anafanyia nchini China, hivi sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake inayojulikana kama "Uzuri Wako" ... Video ya Uzuri Wako imefanywa nchini China huku audio yake ilifanywa ndani ya studio ya AM Records...

1 comments: