Monday, 8 July 2013

Picha: Pambano kati ya Halima Mde(Mbunge) na Jackline Wolper (bongo movie) bila kusahau Aunt Ezekiel(bongo movie) na Ester Bulaya(mbunge)

 Pambano kati ya Halima Mde(Mbunge) na Jackline Wolper (bongo movie)  walitoka droo kwa point 10-10.


  Pambano kati ya Halima Mde na Jackline Wolper wakipambana.


Aunt Ezekie akijiandaa kupambana na  Ester Bulaya.

1 comments: