Thursday, 18 July 2013

NEWS: HAPPY BIRTHDAY NELSON MANDELA

Mzee Mandela atimiza miaka 95 ya kuzaliwa akiwa hospital mjini Pretoria,South Africa,Leo Africa na dunia nzima tuna mtakia siku njema ya kuzaliwa shujaa huyu.
Watoto wa shule wakkimtakia Mandela happy birthday.

Mishuma ikiwa  imewashwa katika kanisa la St. George Cape Town kwa ajili ya Mandela

Wanafunzi wa Johannesburg wakimuombea afya njema Mzee Madiba.

Mchuuzi wa magazeti wa mji wa Soweto ambapo alikuwa akiishi Mandela, akiwa ameshikilia gazeti lenye ujumbe wa kumtakia birthday njema.

Picha ya Mandela ikiwa imebandikwa kwenye billbord ya New York Times yenye ujumbe wa kumtakia birthday njema.


HII NI REPORT YA HALI YA AFYA YA MANDELA.

0 comments:

Post a Comment