Sunday, 21 July 2013

MIILI YA WANAJESHI WALIOUWAWA DARFUR YAPOKELEWA DAR JANA

Ndege iliyobeba miili ya wanajeshi ikiwasili uwanja wa ndeke wa kimataifa wa J.K Nyerere

Wanajeshi wa JWTZ wakibeba miili ya wenzao kuipeleka kwenye Gari maalumu

Wanajeshi wa JWTZ wakiifunika vizuri miili hiyo kwa bendera ya Taifa.
Miili ikipakiwa kwenye gari maalumu la kijeshi.

0 comments:

Post a Comment