Kwenye somo hili ntakuonyesha njia yenye kufurahisha niliyokumbana nayo wakati nasurf net na inahusu vlc media player, trick hii inafanyakazi kwenye windows zote.
Jinsi ya kufanya trick hii:
- Fungua vlc media player
- Press CTRL + N
- Type screen://
- Click on play and watch this trick.
0 comments:
Post a Comment